Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Halafu nilikisoma soma kipindi hicho, sema sikukimaliza chote..
Akina Yego wana bahati sana kuwa na waandishi mashuhuri kama Kezilahabi, Ruhumbika na wengineo. Sijui hata kama wanajua. Vitabu vya Kezilahabi sasa vimetafsriwa katika lugha nyingi za Kimataifa na pole pole anapata umaarufu anaostahili. Sisi pale Mlimani tukamchoka mpaka akakimbilia zake Botswana kufundisha Fasihi na Falsafa ya Kiafrika. Kama unapenda kufikiri tafuta vinovela (riwaya fupi) vyake viwili Nagona na Mzingile ujaribu kupasha akili moto...
 
Nitavitafuta, asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…