Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaaa, I wish kama ningeweza kujenga ya kwangu peke yangu! Haya mambo ni magumu sana, hasa kumpata ambae mnaweza ku synchronize wote mkawa kwenye frequency moja, 50/60HZ! [emoji1][emoji1]
Ni kufumba macho tu mkuu azawaisi unaweza kujikuta unakwenda hata kwenye useja huko. Kuchapiwa kuko pale pale tu...ni siri ya ndani...na kitanda hakizai haramu...Njia yako kuu ndiyo mchepuko wa mwenzio (endi vaisi vesa)...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…