Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

KITABU CHA AYUBU 38:1 Ndipo BWANA akamjibu Ayubu katika upepo wa kisuli suli, na kusema, +

Ni nani huyu atiyae mashauri giza kwa maneno yasiyo na maarifa? Basi jifunge viuno kama mwanaume, maana niatakuuliza neno nawe uniambie. +
(4)ulikuwa wapi nilipoiweka misingi ya nchi?
Haya! Sema ukiwa na ufahamu. +
(5)ni nani aliamrisha vipimo vyake, kama ukijua?
au ni nani aliyenyosha kamba juu yake?
(6)misimgi yake ilikazwa juu ya kitu gani?
Au ni nani aliyeliweka jiwe lake la pembeni,
(19)iko wapi njia ya kuyafikilia makao ya nuru?
Na giza pia, mahali pake ni wapi?
(20)upate kuipeleka mpaka wake,
Upate kuelewa na mapito ya kuiendea nyumba yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…