Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ingekuwa ni uwezo wangu najipangia ingekuwa visichana viwili vimalaika na kavulana kamoja ka SBY Jr. Mengine ni kumwachia Mungu tu hasa katika kizazi hiki.
 
Hivyo, hata kama mbu angeweza kusambaza VVU kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine angeshindwa kwani kiasi atakachokibeba hakitoshi kusababisha maambukizi mapya kwa mtu aliyemuuma.

Hata ikitokea kwa bahati mbaya mbu huyo aliyenyonya damu yenye VVU ukamla au akapasukia katika jeraha bichi mwilini kiasi hicho hakitoshi kuleta uambukizi.

Nihitimishe kwa kuwatoa hofu wananchi wanaoishi pamoja na ndugu zao wenye VVU au wagonjwa wanaolazwa katika huduma za afya katika maeneo yenye mbu kuwa wadudu hawa hawaenezi VVU.
 
Ujauzito unachangia mabadiliko mbalimbali ya mwili tangu mwezi wa kwanza hadi mwanamke anapojifungua. Katika kipindi chote za kulea mimba, mjamzito anakabiliwa na mabadiliko tofauti ya kiafya yanayotokana na hali aliyonayo.
 
Katika kipindi hiki, ujazo wa damu ya mwanamke huongezeka ingawa kwa wachache hutokea ikapungua, kiwambo cha mbavu hutanuka na mabadiliko ya mfumo wa homoni hutokea ambayo husababisha matatizo mbalimbali kiafya japo ni ya kawaida ingawa hayatakiwi kufumbiwa macho.
 
Hivyo, ni vyema kwa mjamzito kuwa karibu na huduma za afya badala ya kusubiri hadi siku ya kuhudhuria kiliniki au muda wa kujifungua unapokaribia.

Kuhudhuria hospitali mara kwa mara husaidia kuzigundua mapema dalili zinazoashiria tatizo linaloweza kumuathiri mama na mtoto aliye tumboni. Hebu tuyaangalie baadhi ya matatizo yanayohitaji umakini katika kipindi cha ujauzito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…