[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lakini sio jambo zuri, je wewe sweetlee ni muhaminifu???
Amen!Not sure if you know this
But when we first met
I got so nervous
I couldn't speak
In that very moment I found the one and
My life had found its missing piece
So as long as I live I'll love you
Will have and hold you
You look so beautiful in white
And from now to my very last breath
This day I'll cherish
You look so beautiful in white
[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
Hahahaha nimemiss majina mnayoitanaNumbisa una nini lakini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124]
Ukikutana nae macho unashauliwa utulie hvyo hivyo kama sanamu ukingoja huruma yake tu ndio ichukue nafasi ili uweze kuokoka....Huyu nyoka nimemsoma sehemu aisee! Ni hatari sana kwa hapa tanzania wapo wengi mkoa wa TABORA.
Unaambiwa wenyeji wa mkoa huo hasa sehemu za MASHAMBANI haiwapaswi kumtaja taja kwa jina japo sababu hawakuweka bayana labda pengine ambavyo nyoka huyu ni hatari kubwa.
Unaambiwa ndo nyoka mwenye speed zaidi kuliko wengine pia ana sumu kali zaidi ambayo uking'atwa huchukia nusu saa CHALI CHA MENDE.
huyo nyoka ana kila sifa za kuitwa nyoka hatari asa kwa mazingira ya binadamu, pia ni mkorofi sana kwa mujibu wa watu waliochangia uzi ule unaambiwa mkikutana nae tu bahati mbaya yeye anajua umekuja kumuwinda so it's either akuue au umuue.
Unaambiwa nyoka huyo mpaka kupewa jina hilo BLACK MAMBA hakupewa kwa bahati mbaya unafungua mdomo ulimi na meno mpaka mate yake ni vyeusi tii!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu nyoka tusimtaje taje nishaanza kuogopa na mimi, ndukiiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] srowubakiHahahaha nimemiss majina mnayoitana
[emoji847][emoji847]
Hili halikuwa tukio la kweli ilikuwa ni movie huko NigeriaAghayaaa!
SafiiHabari za Asubuhi wapenndwa wa Mungu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haiwezekaniiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] srowubaki