Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Napoleon Bonaparte to Joséphine de Beauharnais
‘The charms of the incomparable Josephine kindle continually a burning and a glowing flame in my heart…. I thought that I loved you months ago, but since my separation from you I feel that I love you a thousand fold more. Each day since I knew you, have I adored you more and more.’
 
Mashabiki wa Brazil wameripuka kwa shangwe baada ya taarifa za kurejea uwanjani kwa nahodha wao na mshambuliaji PSG, Neymar

Neymar alikuwa akiwatia watu tumbo joto hasa Wabrazil baada ya kuumia na kurejea Brazil kwa ajili ya kuhuduimiwa na amerudi kikosi chakcke cha Paris Saint-Germain.
 
Kocha wake, Unai Emery alisema kuwa Neymar alitarajiwa leo Jumamosi na lazima atampanga kwenye mechi za PSG kabla ya kumalizikam kwa msimu.

Mchezaji huyo alivunjika metatarsal (mifupa ya vidole vya mguu) wakati wa mechi ya Ligue 1 dhidi ya Marseille mwishoni mwa Februari na tangu kipindi hicho, amekuwa nje ya dimba akiuguza majeraha yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…