Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mwaka huu mchezaji bora atakuwa recognized kupitia World Cup sio UEFA kama mnavyotaka iwe.Hata huyu wa sasa anaujua mpira
Mchezaji bora wa dunia mara 5
Na mwaka huu anaenda kuwa mara ya 6
You cant dismis his ability asee
Unamdanganya nani? TakuchapaMi mbona nlikuepo [emoji2]
Thats what people understood but his massage wasnt malicious. He was talking about mental state of a slave.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kabisa itabidi kubanwa tukikutana nae huko mitaa ya kati
Penaldo siku hizi kawa mviziaji tu hata dribbling inamshinda, kupunguza hata mtu mmoja haweziSasa ungejua Ronaldo ndio complete player
Messi ni mchezaji wa mguu wa kushoto tuu ila ana utumia mara 300 ya uwezo wa kawaida.
King leo ni mtu mwingine bro tena ni kumdhalilisha kumfananisha na huyo crKwa nafasi yake yuko vizuri lakini si wakumfananisha na king Leo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mwaka huu mchezaji bora atakuwa recognized kupitia World Cup sio UEFA kama mnavyotaka iwe.
Hahah!! Sawa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Usjali we ukinikuta naye mbane hapo hao halaf tutaona ana semaje
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Unamdanganya nani? Takuchapa
Jamaa he was born only to play football and entertaining the worldKing leo ni mtu mwingine bro tena ni kumdhalilisha kumfananisha na huyo cr
He doesnt have toHe was talking about mental state of a slave
Did he mention it? Am sure they jst ur thoughts. the tweet/message was indirect, had a chance to clear what he truly meant, he didnt! Silence means message sent and delivered.
He is 33Penaldo siku hizi kawa mviziaji tu hata dribbling inamshinda, kupunguza hata mtu mmoja hawezi
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Braza we hama tuu
Kuna mwenzio humu ndani nilisha mpeleka City
Sisi wengine ni United forver
Cr 7 ni mfanya biashara na ni tajiri kuliko MessiJamaa he was born only to play football and entertaining the world
Cr7 mara kauza boxer mara chupi aaaha
Kumbe ndio muongo ivyo eeh.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mi kweli nlikuepo, sema nilikuwa nachangia nyuzi.ambazo najua hautakuja
Hahahah[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
United ni community, watu wanakuja na kuondoka. He is jst a manager we pay him. Akiharibu anaondoka yeye, anatuachia UNITED yetu.Jana the Boss kaongea maneno yanakatisha tamaa sana,
Yaani lukaku ni Tegemezi we unaona sawa