Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

445315492_334697.jpg
 
Sasa usiingilie uhuru wangu huna mamlaka hayo ni MODS tu ndiyo wanaweza kufanya hivyo.Kama si wauaji kwanini hawataki kuchunguza kwa miezi minane sasa!? Unadhani Lissu angekuwa ni mtu wa CCM wangekaa miezi yote hii bila kufanya uchunguzi.

Lissu mwenyewe kasema aliyetaka kumuua ni nani na alitoa tahadhari kwamba anafuatiliwa lakini hakuna lililofanywa.

Serikali inayojali watu wake haikai kimya watu wanapopotea, miili kuokotwa baharini etc.

Sihitaji msaada wowote ule na wewe au mwingine yeyote ambaye hana mamlaka humu hawezi kunizuia kuandika kile ambacho ninakiamini na ninakisimamia. Soma upite kimya kimya.
Wape vidonge vyao
 
Back
Top Bottom