Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Team good music mkuu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Penzi alinipa MAMA nami leo nakupatia,
Tena staki lawama, penzi kiapo hakuna.

Nitakupenda SANA mpaka wivu,
Utakimbia,

Nami talia na wewe mimi kwako nyang'anyang'a

Ayah CHEKECHA CHEKECHA×2
CHEKETUA CHEKE CHEKECHA CHEKETUA

moja kati fav song nazozikubali.
 
Hahah!! Hatar hiyo kitu, yani kudrop tu hizo lines chache za jamaa umeshafuzu kua mtu wa music
 
Taarifa rasmi kutoka Manchester United zinasema Sir Alex Ferguson amefanyiwa upasuaji wa ubongo leo na zoezi hilo limeenda salama. Hivi sasa yupo kwenye uangalizi maalum ndani ya ICU kwa ajili ya kuendelea na matibabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…