Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yap yap, na leo kuna dogo wa form six ambaye kesho ilitakiwa aanze mitihani amekutwa kajinyonga source itv tz
Breaking News

*BAD* *NEWS*

Mwanafunzi kidato cha sita Kahororo Sekondari Bukoba akutwa akiwa amejinyonga usiku wa kuamkia leo.

Mwanafunzi huyo *ROBERT* *MASABA*mwenyeji wa Wilaya ya Kwimba Mkoani Mwanza amechukua uamuzi huo yakiwa yamesalia masaa kadhaa kufanya Mtihani wa Taifa unaotarajia kuanza hapo kesho.

Sababu za Uamuzi huo bado hazijafamika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…