[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani jamaa bila kuchambua chambua wapuuzi bado hajajisikia raha [emoji23][emoji23][emoji23]...
GOAT...
KING...
NakaziaPyeeeeeeeeeee madiridi hovyo kabisa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wa Kimataifa mai futi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lazima akatae maandishi yakeUbingwa tulishachukua kitambo sasa tunataka kuchukua na record...
Kwanza mchana siulisema unakuja kuivunja record yangu ya kutokufungwa wewe, inakuaje tuna unauliza umuhimu wa hiyo record?
Mungu ni mwema kwa kweli. Niaje huko?Aisee kwema kabisa mambo niaje
Hivi nyie hamjaona rafu waalizocheza watu wenu na refa kapeta?Acha hizo khaaa yaan ile ya bale ilikua clear penat
Goli la messi sio halali,suarez alimchezea rafu madrid akampasia messi hujaona hapo
Ile mitama ya katikat ya uwanja sijahesabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmmmmmh!*KUTOKUONGOZWA KWA HISIA*
Utakaso sio hali ya hisia ya furaha inayo tawala kwa muda mfupi, sio kazi ya mara moja, bali kazi ya maisha yote.
Yeyote akidai kwamba Bwana amemtakasa na kumfanya kuwa mtakatifu, uthibitisho wa
dai lake la kuwa na hiyo baraka utaonekana kwenye matunda ya upole, Subira, uvumilivu, ukweli na upendo.
Gongo lita mbili mkuu hawezi kusimama [emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha messi anafungaga kama vile hata akilewa au awe amekunywa gongo lita mbili
AaahHahaha messi anafungaga kama vile hata akilewa au awe amekunywa gongo lita mbili
[emoji3] [emoji3] sio kweliJeshi lako limetia aibu muraa
Kutokuchukua haifanyi kuwa Ngumu mkuuHamna alisema
Angependa kushinda la liga
Kama UEFA rais si mngechukua? [emoji2]
Jaman drid wabayaUnbeaten still