Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna simulizi ya mtoto alimuuliza mama yake kwa nini unaondoka na funguo ya gari? Unafunga mlango wa chumbani kwako? Mama yake akamjibu hatumwamini binti wa kazi. Yule mtoto akamuuliza kwa nini mie mnaniacha na huyu binti, inamaana mie sina thamani ya gari au vitu vya huko chumbani kwako?” “Hili ni tatizo kubwa linaloumiza familia nyingi kwa hiyo kila mzazi anatakiwa kutafakari uhusiano na binti anayesaidia kazi.
 
Nipo hapa naangalia taarifa ya habari mtangazaji kasema twende moja kwa moja marekani tukaone kinachojiri..........sasa hivi napanga nguo kwenye begi hata kuoga siogi nitaenda kuoga huko huko chezea safari wewe
 
Back
Top Bottom