Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio kingwendu rafiki ni vile TX aliimba ile vers yake huwa inateka hisia zangu
Matatizo kumpenda anayependwa na wengi, huenda ukanywa sumu au ukajinyonga
Kwa kuwa DAVET bado ni kijana mamaaa kubembeleza mamaaa ni kawaida yangu eeeeh!
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16], ndo verse yenyewe hiyo eeh?
 
Aisee unapeleka hisia zangu mbali sana [emoji23][emoji23]

Usiku wote minalala nikuwaza nakuita jina lako oooh Tuma [emoji445][emoji445]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…