Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2018-04-21-19-40-25.jpg
 
Walahi sitawahi danganya tena
Leo asubuhi nimeingia matatu iko na msupa kuruka...[emoji12]
Macho ya kila mtu ilikua kwake alafu mimi nikabahatika kukaa karibu na yeye...nilijaribu kila kitu kuget attention yake but saitani akakua kichwa ngumu...[emoji57][emoji57]
Saa nikafanya kitu kila meanaume angefanya...nilitoa simu nikajifanya napiga...[emoji1476]
Hallo bwana gavana...eeh ambia dereva wangu anitolee hiyo BMW yangu kwa barabara imearibika kidogo...[emoji4][emoji4]..nikaona ako kadem kamenizubailia nikadhani ameingia box nikakata simu...dem akanishow chukua battery yako ya simu ilianguka ukitoa simu[emoji15][emoji15][emoji15]
Nakuambia ile kicheko ilikua kwa hiyo gari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ilibidi dere aeke gari kando ya barabara acheke kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom