mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Yap1.Jirani
2.Kuolewa majaliwa
Yap1.Jirani
2.Kuolewa majaliwa
Hata waandamizi waliwasili
Twanga walikuwa vizuri sanaTena hizo za kitambo kweli yani [emoji23]
Hadija kimobitel ,Aisha MadindaNdio, yaani nilikuwa nazipenda sana aisee,
Enzi hizo LILIAN INTERNET
Ilikuwa hatari
Aisee huyu mzee alipiga helaaliwakamata sana...
Muziki wa bendi umekufa kabisa sasa sijui kwa nini inatakiwa juhudi kurudisha kwenye Enzi zakeYaani sijui tatizo nini, vilevile kina OTTU JAZZ band walikuwa wanafanya vizuri sana.