Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hii band ilikuwa ya Chama cha wafanyakazi kwa hiyo ilikuwa inabadilika jina kulingana na Chama cha wafanyakazi kilipokuwa kinabadili majina ilianza na jina la Nuta jazz, Juwata jazz, ottu jazz baadaye waliamua kuwamilikisha wanamuziki wenyewe ndio wakaamua kuitaIlikuaje OTTU alafu tena Msondo au walikua na majina mawili?
Hii Ya Banana ZorroThe B band
Kumbe hata yeye alikunywaNi yeye. Serikali nzima ya awamu ile ilihamia huko. Wengine walikuwa wajanja hawakupigwa picha ila rekodi zipo [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 769098
TidTop band
Kama yapiuzi huu chungeni una mambo
Kisa cha mpembaTwanga pepeta
AsantePoleni wakulima wooote
Yap tupo pamojaFormerly iliitwa NUTA jazz band, ikabadilishwa ikawa JUWATA jazz band, OTTU jazz band ndo ikaitwa MSONDO NGOMA..
YapKila mtu ana umuhimu wake