Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ilikuaje OTTU alafu tena Msondo au walikua na majina mawili?
Hii band ilikuwa ya Chama cha wafanyakazi kwa hiyo ilikuwa inabadilika jina kulingana na Chama cha wafanyakazi kilipokuwa kinabadili majina ilianza na jina la Nuta jazz, Juwata jazz, ottu jazz baadaye waliamua kuwamilikisha wanamuziki wenyewe ndio wakaamua kuita
Msondo Ngoma Music Band
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…