Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
HATIMAYE mabingwa wapya wa Ligi Kuu England, Manchester City wamekabidhiwa mwali wao jana Jumapili baada ya kumalizika kwa mchezo wao dhidi ya Huddersfield Town.
Awali, Mashabiki wa City walijazana uwanjani Etihad kusubiri kushangilia ubingwa ambao wameunasa wakiwa mbele kwa pointi 94 huku wakisaliwa na mechi mbili hivyo, kama wakishinda watakuwa wamefikisha pointi 100.