Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20180507_200114_680.JPG
 
Awali, Mashabiki wa City walijazana uwanjani Etihad kusubiri kushangilia ubingwa ambao wameunasa wakiwa mbele kwa pointi 94 huku wakisaliwa na mechi mbili hivyo, kama wakishinda watakuwa wamefikisha pointi 100.
 
Hata hivyo, kwenye mchezo wa jana, Kocha Pep Guardiola alikuwa akihaha kutoa maelekezo kwa wachezaji wake kwani, alitamani kupata ushindi ili kunogesha sherehe za ubingwa lakini, jeshi la David Wagner lilipambana na kunasa sare ya bila kufungana, hivyo kuondoka na pointi moja wakati huu wakipambana kutoshuka daraja.
 
Matokeo hayo hayana madhara yoyote kwa Man City kwani, ilishatangaza ubingwa muda mrefu ikiwaacha mahasimu wao, Manchester United kwa tofauti ya pointi 17, huku mabingwa watetezi Chelsea wakiwa nafasi ya tano katika msimamo wa ligi.
 
Back
Top Bottom