Haya toa jibu la peke yangu [emoji23] [emoji23]Kama wewe peke yako, jibu ninalo
Ila nyinyi jibu sina
Man City pia imeweka rekodi ya kushinda mechi 12 mfululizo msimu huu huku ikiweka rekodi ya kushinda 11 ugenini.
Hata hivyo, wakati Man City ikishangilia ubingwa huo, Cardiff nayo ilikuwa ikishangilia kupanda Ligi Kuu England msimu ujao baada ya kwenda sare ya bila kufungana huku wapinzani wao, Fulham wakichapwa.
Daah! Naona mnarudi uhengani taratiibu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]1.Jirani
2.Kuolewa majaliwa