Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tezi ni nini?

Omo ni nini?
*Tezi -upande wa mbele wa ngalawa
*Omo -upande wa nyuma wa ngalawa
*Ngamani- katikati ya ngalawa

Mwenda tezi na omo marejeo ngamani, nenda mbele nenda nyuma (ya ngalawa) lakini mwisho wa siku utarudi katikati (ngamani)
***Tembea kote, nenda kote uendako, Mwisho wa siku utarudi nyumbani* Nyumbani ni nyumbani.
 
Mshambuliaji huyo wa Hispania alikuwa na mwanzo mzuri Stamford Bridge baada ya kutua hapo kwa dau la Pauni58milioni kutoka Real Madrid, lakini aliumizwa na tangu kuanza mwaka huu amekuwa akipambana kurudisha hali yake katika ubora.
 
Sahihi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…