Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
In France, it is legal to marry a dead person
Yap....And inherit all his/her wealthy?
Yap....
Hahahah,Kuna mtu nimempa like kimakosa na post imepotea aisee!!
Naitafuta adi niipate nichukue like yangu [emoji23]
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahyo mkuu inabidi iwe muda gani???
Dah !!!*Tezi -upande wa mbele wa ngalawa
*Omo -upande wa nyuma wa ngalawa
*Ngamani- katikati ya ngalawa
Mwenda tezi na omo marejeo ngamani, nenda mbele nenda nyuma (ya ngalawa) lakini mwisho wa siku utarudi katikati (ngamani)
***Tembea kote, nenda kote uendako, Mwisho wa siku utarudi nyumbani* Nyumbani ni nyimbani.