Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ugonjwa huo unachukua muda mrefu kugundua na kuona viashiria kwani mwanzo mgonjwa huanza kupata shida kumeza chakula na kwamba wagonjwa wengi wanaofika katika Taasisi hiyo ya Saratani wanakuwa tayari wamechelewa kwani wanakuwa katika hatua ya mwisho.
 
Mpaka wajiridhishe..
Siyo kama sisi mtu hata hamjaonana tayari I love you....
Hahaha
Nilisoma research moja ya marekanj

Wa USA ina wachukua avarage ya 14 days from wameonana kuhave sex lakini 144 days kwa wanawake kusema i love you na wa aume siku 88 kusema i love you.

Sisi tukisha piga sex ndio love tumeua nayo sex inacheleewaaa
 
Unaweza usionyeshe dalili lakini kadri siku zinavyokwenda ndiyo kunakuwa na dalili zinajitokeza pia katika kipindi hicho mtu anakuwa na maumivu wakati wa kumeza chakula, maumivu katika kifua na mgongo na hata kupungua uzito pamoja na kikohozi kikavu kinachoweza kudumu mwezi mmoja,” anasema.
 
Njia ya kuzuia saratani ya koo.
Kwanza mtu mwenye ugonjwa huo anapaswa kuwahi hospitali ili aanze matibabu mapema kutokana na ukweli kwamba mgonjwa anayewahi kupata matibabu ana uwezekano wa kupona kuliko yule ambaye amechelewa kugundulika na kuanza matibabu.
 
Kama saratani hiyo itakuwa imeshambulia viungo vyote vilivyopo jirani na koo na hadi kufika katika tezi au kiungo kingine cha mwili, mgonjwa anaweza kutibiwa kwa njia ya upasuaji, kutumia mionzi na hata kifaa maalumu ambacho ni kemikali.
 
Tafiti zilizofanywa nchini
Wataalamu mbalimbali nchi wamefanya tafiti zinazohusiana na ugonjwa huo na kusema kuwa kati ya mwaka 1983 hadi 1992 kulikuwa na kati ya watu 546 waliopimwa, wanaume 430 na wanawake 116 waligundulika kuwa na ugonjwa huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…