Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Sinners are in bondage with sin
Me ain't because [emoji17]Why do you hate God
Chizi wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pole kama unasikia baridi vaa sweta, au jaketi na kuvaa soksi, na mtandio halafu ukaote moto jikoni. [emoji23] [emoji23]
Kaone....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lisazi,masala doho,lishindo lake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa niaba ya wakoromijeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Msije tu mkahamishia jukwaa la siasa huku sasa. Ban zitaanza kutufuata huku huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Spika Ndugai aitaka Serikali kutoa majibu ya hili
MUUNGWANA BLOG / 2 hours ago

Spika Job Ndugai ameitaka Serikali kutoa majibu ya tofauti ya bei ya sukari kati ya Tanzania Bara na Zanzibar, ambapo Tanzania bara bei ni maradufu na kusema suala hilo haliwezekani hata kidogo.
Akihitimisha mjadala wa sukari ambao haukupatiwa majibu, Spika Ndugai amesema kwamba swali lililoulizwa na Wabunge akiwepo Mbunge wa Mpendae, Tuky ni la msingi sana na bado halijapatiwa majibu hivyo kuamua kulipanga wiki ijayo.
Kama ni kweli wananchi wa Tanzania bara wanalipa sukari mara mbili ya ya Zanznibar ili tu kulinda wenye viwanda....Haiwezekeni hiyo. Bunge linahitaji majibu ya uhakika.
Kumekuwa na mvutano bungeni kuhusu bei ya sukari katika viwanda vya Tanzania bara kuuzwa bei ghali kuliko Zanzibar jambo ambalo Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage amesema hiyo ni kutokana na gharama za uzalishaji bara kuwa juu kuliko Zanzibar.
[emoji85] [emoji125] [emoji100]Chizi wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Are you humble, sir?Be humble and God will exalt you in due season
Kweli eti DavetUnajifanyisha tu ila poa
Mzeeeeee upo kanisani nini naona leo umekuja kipasta pasta humu ndani. [emoji23]If you are a braggart mostly likely you are a sinner
Acha zimtokeAli Kiba Aburuzwa Mahakamani
Mwakasege Blog / 1 day ago

Mfanyabiashara wa mitumba Hadija Hassan amefungua kesi ya madai ya matunzo ya mtoto dhidi ya msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya, Ali Kiba maarufu kama King Kiba.
Katika kesi hiyo, Hadija anadai jumla ya Sh. milioni 1.41, ikiwamo Sh. 950,000 za ada na Sh. 460,000 za matumizi ya mtoto wa miaka mitano (jina limehifadhiwa kwa sababu za kisheria na kimaadili).
Hadija ambaye ni mfanyabiashara wa mitumba amefungua kesi ya madai hayo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam akidai matunzo kwa mlalamikiwa ambaye ni mzazi mwenzie -King Kiba.
Kwa mujibu wa hati ya madai iliyowasilishwa mahakamani hapo, mlalamikaji anadai kuwa Januari, 2013 katika Hospitali ya Mikocheni, jijini Dar es Salaam alizaa mtoto wa kike ambaye baba yake ni mlalamikiwa.
Alidai kupitia hati hiyo kwamba mlalamikiwa anatakiwa kumhudumia mtoto huyo kwa mahitaji yote muhimu ikiwamo chakula, nguo, elimu na matibabu.
"Kutokana na Sheria ya Watoto ya mwaka 2009, mdaiwa anatakiwa kutoa huduma kila mwezi, chakula Sh. 150,000, matunda Sh. 50,000, chakula cha ziada Sh. 50,000, michezo na burudani za watoto Sh. 100,000, nguo Sh. 60,000 na matibabu Sh. 50,000 ambapo jumla ni Sh. 460,000," alidai mlalamikaji kupitia hati hiyo.
Aidha mlalamikiwa anatakiwa kulipa ada ya shule kwa muhula Sh. 950,000, na anadaiwa aliacha kutoa matunzo hayo kwa mtoto tangu Januari, mwaka huu hivyo anaiomba mahakama imwamuru mdaiwa kutoa matunzo hayo ya Sh. 460,000 kila mwezi na ada.
Pamoja na mambo mengine, mlalamikaji anaomba malipo ya kwanza yatolewe mapema baada ya hukumu, na pia anaiomba mahakama imwamuru King Kiba kumsomesha mtoto, kumnunulia nguo na matibabu ikiwamo kumtafutia bima ya afya.
Pia mlalamikaji anaomba mahakama imwamuru Kiba kulipa gharama za matunzo Sh. 460,000 kuanzia Februari 2017 mpaka siku itakapotolewa hukumu na gharama za kesi ziwe kwa mdaiwa.
Mbali na maombi hayo, Hadija anaomba mahakama itoe amri nyingine yoyote itakayoona inafaa kwa manufaa yake. Kesi imefunguliwa kwa msaada wa Kituo cha Wanawake cha Msaada wa Kisheria (WLAC).
Ali Kiba, ambaye jina lake la kuzaliwa ni Ali Saleh Kiba amefunguliwa madai hayo ikiwa ni siku chache tangu afunge ndoa iliyopendeza mjini Mombasa Kenya.
Visit website
MaparachichiMalimao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Msije tu mkahamishia jukwaa la siasa huku sasa. Ban zitaanza kutufuata huku huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]