Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Msije tu mkahamishia jukwaa la siasa huku sasa. Ban zitaanza kutufuata huku huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha zimtoke
 
Afya ya kocha wa zamani wa Manchester United, Sir Alex Ferguson imeimarika baada ya kupata fahamu kwa mara ya kwanza.

Ferguson aliwahishwa Hospitali ya Salford alikofanyiwa upasuaji haraka wa kichwa Jumamosi iliyopita baada ya damu kuvuja ndani ya ubongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…