Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Taarifa za ugonjwa wa Ferguson ambaye ni raia wa Scotland ulishitua familia ya soka duniani kutokana na rekodi yake.

Ferguson, mshambuliaji wa zamani wa Rangers, ana rekodi ya kutwaa mataji 38 katika miaka 26 aliyoinoa Man United kuanzia mwaka 1986 hadi 2013 alipostaafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…