Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amesema katika jimbo lake amekuwa akiomba mara kwa mara hospitali ya wilaya ipelekewe maji, kwamba akihoji maji anajibiwa ndege kwanza.

“Miaka 57 ya CCM tunaongelea maji? Serikali ya CCM amkeni kama hakuna maji, kama hatupati maji Serikali ya CCM bai bai, maji ni uhai na masheikh wako magereza hakuna maji.”
 
Mara baada ya kumaliza kuchangia, Spika Ndugai amesema, “hata tukiwalaumu Waziri na Katibu Mkuu tunawaonea. Tukiacha mfuko wa maji, Serikali imetoa asilimia 11, lakini kesho waziri wa fedha, akisimama hapa watueleze. Hivi kama wewe ungekuwa waziri ukisimama hapa utasema nini.
 
Back
Top Bottom