Hehehe ni Kibarua mkuu,Niko vzuri kaka
Naendelea kusibir ushindi wa Madrid huko Kiev
Kwa kweliKumbukumbu ya davert
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu anatakiwa kupata ajira tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ATUPOIHATUPOI
Kisa zile updates?[emoji23]Yes
Halaf mara ya kwanza nilijuaga uko city
Code yetu hiyo [emoji23][emoji23]Hahaha
Mbona huniambii au ni code ya ya watu wa huko tu?
najisikia tu nikwambie kitu!Bee mkuu
KabisaIla kama viongozi wa saa hizi ndio woite hawafai