Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bila shaka una orodha yako umeiandika – labda kwenye kitabu cha kumbukumbu, kalenda, kwenye kompyuta au simu yako – orodha ya nini cha kufanya, jambo ambalo ni zuri. Lakini yawezekana kabisa orodha unayoihitaji ni ya nini vya kutofanya
 
Mfano: kama unajiandaa kwa likizo na unajua kwamba hutakuwa na muda wa kufanya kazi jioni, bila shaka huwezi kuwa unafanya kila kazi inayoletwa mbele yako. Kwahiyo inabidi upange kabla jinsi gani utatumia muda mchache ulionao.
 
Fanya kazi zitazoleta matokeo makubwa huku ukifikifiria vitu vya kutovifanya

Hili inabidi ulifanye kwa umakini. Bila shaka tayari unajua ni wapi unatakiwa kuelekeza nguvu yako na wapi utapata matokeo ya haraka. Baada ya kujua hili ni vyema ukafanya yanayofanikisha yote mawili kwa wakati mmoja — kuelekeza nguvu na mawazo yako kufanya yatayokuletea matokeo ya haraka hata ukiwa safarini. Chochote nje ya hapo kinatakiwa kuwekwa kwenye orodha ya vitu vya kutofanywa.
 
Pia unaweza kuuliza marafiki zako kuhusu “nini cha kuepuka/kutofanya” kupitia mitandao ya kijamii kujua watu wengine wanawaza nini au wanapunguzaje mambo yasiyo na umuhimu kwenye ratiba zao. Baadhi ya majibu yaweza kuwa msaada mkubwa kwako.
 
Kama upo tayari kuandaa orodha yako ya vitu vya kutofanya, anza kuangalia maeneo haya:

Barua-pepe zisizo za lazima. Kwa kujiondoa kwenye orodha za watu wanaokutumia barua pepe zisizo na maana, kama unapowekwa kwenye kundi kubwa la watu waliotumiwa barua-pepe hiyo bila ulazima wowote wa wewe kuwapo, unaweza kujipunguzia usumbufu mkubwa wa kusoma vitu visivyo na ulazima vinavyokupotezea muda. Uwe na barua-pepe chache ambazo unaweza kuzisoma na kufuta papo hapo ndio jambo zuri zaidi.
 
Mikutano na vikao visivyokuwa na ulazima. Bila shaka huhitaji kuhudhuria zaidi ya nusu ya mikutano au vikao ulivyoalikwa kwa sasa — hasa ikiwa havina dalili ya kuisha na tayari umeshatoa mchango wako tayari. Ongea na muandaaji na umuombe akutumie ujumbe wa kukuita utakapohitajika (na ajue kwamba kama uwepo wako si lazima, omba uondolewe kwenye orodha hiyo.)
 
Kutatua matatizo/changamoto. Hili limo kwenye uwezo wako. Amua sasa kwamba hutashtushwa na matatizo madogomadogo au kukurupukia matatizo ambayo yanaweza kutatuliwa na mtu mwingine wenye uwezo wa kuyatatua. Si lazima kila tatizo ulitolee ufumbuzi wewe.
 
Kutatua matatizo/changamoto. Hili limo kwenye uwezo wako. Amua sasa kwamba hutashtushwa na matatizo madogomadogo au kukurupukia matatizo ambayo yanaweza kutatuliwa na mtu mwingine wenye uwezo wa kuyatatua. Si lazima kila tatizo ulitolee ufumbuzi wewe.
 
Taarifa za mara kwa mara za maendeleo ya kazi. Huna haja ya kupoteza muda wako kufikiria kuhusu maeneo ambayo tayari yanakwenda vizuri. Kama unataka kujua maendeleo, unaweza kufanya ukaguzi wa jumla kwa kulinganisha ulipo na malengo uliyojiwekea kama vinakaribiana. Jipe nafasi ya kutafuta majibu ya mambo ya muhimu au matatizo ambayo yanakuhitaji wewe na utaalamu wako.
 
Kujua nini hutakifanya inakusaidia ni wapi utoe msaada na wapi uachie wengine.

Ukishaandaa orodha yako ya vitu vya kutofanya utaona jinsi unavyoweza kupata muda ambao mwanzo ulikuwa unapotea bila sababu. Hii haimaanishi kwamba usiendeelee kuiboresha orodha yako ya vitu vya kufanya, ila sasa unaweza kuweka akili yako kwenye malengo ya muda mrefu zaidi. Pia itakusaidia kujiweka karibu na watu wenye uwezo wa kutatua matatizo na changamoto zinazotokea bila kukutegemea wewe hivyo kukuacha uwe huru zaidi kufanya mambo ya muhimu.
 
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na tabia ya wanawake kunyanyua maziwa yao, ambapo watu wengi hufahamu kama ‘kubusti’, bila ya wao kujua kuwa jambo hilo lina madhara katika afya yao.
 
Ili kuweza kubusti, wanawake hulazimika kuvaa sidiria ambazo ni ndogo kuliko ukubwa wa maziwa yao na hivyo kuyabana. Baadhi ya wanawake hununua sidiria hizi bila kujua ukubwa halisi wa maziwa yao na hivyo kujikuta wakibusti bila kupenda wakati wengine hudhamiria kabisa kununua sidiria hizo.
 
Kufuatia utafiti uliofanywa na timu ya wataalamu Lingerie Curvy Kate kutoka nchini Uingereza ulionyesha kuwa wanawake asilimia 95 huvaa sidiria zisizo na ukubwa sawa na matiti yao jambo linaloweza kusababisha uharibifu wa tishu mihimu katika matiti (kifua).
 
Back
Top Bottom