Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mpasua Mbao mmoja kwenye misitu ya bonde la mto Ruvu huko Kinole Morogoro ansema, alipita chini ya mti ambao Koboko alikuwepo, akiwa amebeba mbao, nyoka huyo alipiga shambulizi kali ambalo limeishia kuzing'ata mbao. kwa kuwa shambulizii lilikuwa la nguvu nyoka huyo alijifia mwenyewe baada kuzipiga mbao akidhani kichwa cha mwanadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…