Hatari kabisaHafai
100%Byutiful[emoji254]
Hatari sana..Mkata mkaa mmoja huko Panga la Mwingereza Wilayani Kisarawe, akiwa karibu na misitu ya Pori Tengefu la Serous, akiwa amejipumzisha kambini huku akisikiliza mziki kupitia simu yake alipigwa na nyoka huyu kwapani na kufa dakika chache baadayeView attachment 772522