Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inashangaza na kusikitisha sana Mkuu. I hope MACCM watampiga chini huyu 2020 vinginevyo hii nchi inakoelekea ni hatari sana Mkuu.

Jamaa ana jifanyaga mgumiu ila he is a coward, rais mwoga kuliko wote.
Sasa intelijensia ya kujilinda againts nan?
Hapo bado anatumia polisi na mahakama [emoji2] nacheka kwa masikitiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…