Mkuu naona maradhi yako[emoji12]Huyu ndiyo wewe ???
Shamma naona ndio mida yako hiiiBeef jmn ndio nini tena?
Ugonjwa wa wengine huo
Tupo pamoja mkuu [emoji23]karibu mkuu....twende kazi ""
Ndio mkuu, wapi shemu Ney?Shamma naona ndio mida yako hiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio mkuu, wapi shemu Ney?
Au nimsake nikupore tena?[emoji12]
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi mharibu eneo hilo sio siri, bilasha wanikumbuka siku ile[emoji13][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umanza uchokozi eeh
Actually sikukulenga wewe rolo modo wangu. Huwa na reply na kufuta quote orijino kabla sija-attach picha ninapotumia app. Kwenye hii post nilisahau kufuta quote yako ndo maana ikatokeza; na nilipogundua nikarudi na kuiondoa mara moja.Nilijua tu boss hii comment niliitarajia..am trying tatizo wananichokoza,kila ninachokoment wanakasirika daah inabidi kwenda nao watakavyo
Nipe.muda si waona siku hizi nimepunguza drama kwa 50℅
Wanatamani kukuwekea[emoji12]Kadir unavyozid kupanua ndivy watu wanavyozid kutamani [emoji131][emoji131][emoji131][emoji131]
Nakukumbuka mzee king'ang'aniziMimi mharibu eneo hilo sio siri, bilasha wanikumbuka siku ile[emoji13]
Bado aiseeUshalala?
Ulikuwa mapumziko eehBado aisee
Watu wakasema hapa hachomoi..kwani nilichomeka wapi!! Teh tehKadir unavyozid kupanua ndivy watu wanavyozid kutamani [emoji131][emoji131][emoji131][emoji131]
Hamna bro ulikuwa right kabsaActually sikukulenga wewe rolo modo wangu. Huwa na reply na kufuta quote orijino kabla sija-attach picha ninapotumia app. Kwenye hii post nilisahau kufuta quote yako ndo maana ikatokeza; na nilipogundua nikarudi na kuiondoa mara moja.
Sote tuko tofauti na ungangari ndiyo kitambulisho chako. Ukibadilika itabidi na jina ubadilishe na jina na sisi wafuasi wako itabidi ututafutie mashujaa wapya [emoji23][emoji23][emoji23]