Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ngosha mwenye sound nyiingiii..uko poa mkuu
 
Braza CCM hawa wez kumtoa kizembe he is the president and chairman of the oarty
Yaan sioni hilo
Mkuu kumtoa kirahisi hawawezi na hilo nakubaliana kabisa na wewe. Lakini kwa historia ya jinsi ambavyo CCM imekuwa inafanya kazi, Raisi Magufuli ajiangalie sana sana sana kwasababu CCM is a den of vipers and wolves. Hapa labda asikosee hatua zake na awe macho masaa yote...CCM yenyewe siyo wakina Nape na Makonda kuna wenyewe mazee.
 
Yeah
Lets hope so ila jamaa ni disaster
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…