Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ngosha mwenye sound nyiingiii..uko poa mkuu
Sema mkuu. Sound nyingi eeeh!?

Katika utofauti wetu ndimo upekee wetu unamopatikana; na katika upekee wetu ndimo mlimo na uthamani wetu na nguvu zetu kama binadamu. Tumshukuru Mungu kwa kutuumba tofauti mkuu vinginevyo tungekuwa sawa na maroboti tu yanayoongozwa na programu moja yenye ufanano wa nje na ndani. Isingependeza !!!
 
Oopsss dah nikajua nimegombezwa leo na dady kitoo hahaha
 
Mimi namuonea sana huruma huyu Mzee wetu. Naomba tu kwa Mungu kwamba abadilike kabla hajachelewa kwasababu kwa jinsi anavyoenda lazima kuna sehemu atakwama tu na hatakuwa na watu wengi sana upande wake.....
Yeah na hata akifanikiwa kumaliza kwa taabu
Maisha yake baada ya kustaafu yatakuwa ni lonely no one will want to be associated with him
 
Siku hizi umenitupa sana mkuu, sijafungaga pm ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…