Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hujakosa lolote. Jamaa walikuwa wamemkomalia alete ushahidi akaanza kudai kuwa yeye binafsi alishakanyaga mabinti wengi tu wa hapa JF na anasema JF ya sasa hakuna tofauti na Badoo. Jamaa wamemkomalia hasa aliposema hata makaka poa wapo kibao....
Vijana wakisha kula majani basi wanaleta tabu tu humu ndani...
 
Ushindwe na ulegee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…