Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

UREMBO HALISI WA MWANAMKE UNAANZIA NDANI YAKO

Urembo unajumuisha mambo mengi kwa mwanamke tofauti na dhana za watu wengi wanaofikiri kwamba urembo ni kuvaa vizuri, kuonekana vizuri na hata manukato mazuri, kuwa na umbo zuri, na jinsi unavyoonekana kutokana na umbo lako. La hasha hivi ni vidokezo vya urembo kwa mwanamke.
 
Urembo halisi ni amani na utulivu uliopo ndani yako, hali hii ina faida katika moyo wako na mwili wako pia. Jambo la msingi hapa ni kuwa na amani kwa kuepukana na msongo wa mawazo na kuwa mwenye furaha muda wote. Hali ya msongo wa mawazo (stress) huleta maradhi mbalimbali kama vidonda vya tumbo (gastric ulcers), shinikizo la damu (blood pressure) na mengine mengi.
 
Nipe maujanja daah kwa simu hii si watawahi unganisha ID aaah jaman nami nataman jezi nyingi hahahah
Nadhani itakubidi utumie PC na utumie vpn ili servers za JF zising'amue ni mtu mmoja halafu siku ukikorofisha zinakuunganishia. Vpn inakuwezesha kulog in kutokea sehemu mbalimbali duniani na hivyo unaregister ip address tofauti tofauti na hivyo kuzipiga chenga system za JF tapatalk...
 
Katika maisha ya mwanamke yeyote mwenye kupenda urembo na muonekano mzuri ni pamoja na kuepukana na magonjwa yanayoepukika kwa njia ya kua na amani na furaha muda wote kwa kujenga sura nzuri, umbo zuri lenye kupendeza pale unapovaa nguo ya aina yoyote au kupaka vipodozi vya aina yoyote ile.
 
Ni vyema tujiulize, je ni kiasi gani cha fedha tunatumia kila mwaka kununua nguo mpya, viatu vya gharama, vipodozi na mikoba? Bila shaka ni gharama kubwa lakini je, kuna gharama gani tunatumia kujenga furaha na amani ndani yetu? Jibu ni rahisi tu furaha na amani ni wewe mwenyewe pasipo gharama yoyote ile. Maswali haya yatakufanya wewe kama mwanamke mpenda urembo kupata njia thabiti za kuongeza urembo.
 
VIFUATAVYO NI VIDOKEZO VINAVYOONGEZA UREMBO WAKO KAMA MWANAMKE

1. Kupata muda wa kutosha wa kupumzika ni muhimu kwa urembo wako, ni kweli kwamba sisi kama wanawake tunatumia muda mwingi kutimiza majukumu ya kifamilia kama mama, dada, watoto wa kike na hata wanawake ambao tuna majukumu ya kutimiza malengo fulani ya kimaendeleo mbali na familia yatupasa kupata muda wa kupumzika na kupata hewa safi kila baada ya shughuli mbalimbali za kila siku ili kujenga afya ya ngozi yako kimuonekano na akili pia.
 
2. Mazoezi ni nguzo muhimu katika urembo, kwa kufanya mazoezi kutakupunguzia uchovu na uzembe wa mwili, na hivyo kuuandaa mwili kupambana na magonjwa mbalimbali kama mafua na maumivu ya mwili. Mazoezi pia yanajenga umbo zuri kwa mwanamke kwa kupunguza mafuta mwilini na hivyo kuleta muonekano mzuri hata unapovaa nguo yako na kuvutia.
 
Back
Top Bottom