Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Vimbaumbau wote katika uzi huu. Ofa kabambe hii hapa kutoka Mwakaleli. Mshindwe wenyewe tu kuachana na ukimbaumbau wenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Carba hakuna ubishi, Numbisa amesema mwenyewe, Pyaar na machozi alimwaga. Simsemi mama yao ISIS ignore list naiogopa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na huyo nae!!
Nasikia maparachichi yananenepesha haraka sana kama atapenda kuya mung'unya.Najitolea firii ovu chaji kummung'unyisha parachichi nene nene refu zito lenye mkunjo kwenye mshikio...