Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

445417124_201212.jpg
 
Naomba ninukuu....

"Najitolea firii ovu chaji kummung'unyisha parachichi nene nene refu zito lenye mkunjo kwenye mshikio."

Na kwa vile maparachichi yana mafuta sana, basi kunenepa hapo lazima tu. Mwakaleli bana !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ofa inipite tu
 
Sijui hata niko wapi wacha niwe kama sanchi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sweetlee[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] yaani upo kama huyo uliye mtaja????

Eee akchwale mimi ni mfanya biashara ya maparachichi nilio fanikiwa sana... Dar nipo mara mbili kwa wiki yaani Ijumaa na Jumamosi... Kwenye matumizi wala sina hiana, achana na umri wangu, nimeandika barua kuwaomba warejuleti mwaka wangu wa kuzaliwa. Suuni nitakuwa kijana mdogo mdogo nilie barikiwa kuwa na sura nzito ka fenesi la Tanga... Happy to see me?? [emoji7] [emoji7]
 
Back
Top Bottom