Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nilikukumbuka pia kasmartakeeNmeshinda poa shiro,,sinilikukumbuka shiro
Tuanzie kwako binti mpole,,Katika maisha ya mwanamke yeyote mwenye kupenda urembo na muonekano mzuri ni pamoja na kuepukana na magonjwa yanayoepukika kwa njia ya kua na amani na furaha muda wote kwa kujenga sura nzuri, umbo zuri lenye kupendeza pale unapovaa nguo ya aina yoyote au kupaka vipodozi vya aina yoyote ile.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Punguzeni umbea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka kusema comment hiyo ndo imemfukuza Carba? Acha hizo bana !!!
Poa shiro,, weekend ni ajeNilikukumbuka pia kasmartakee
Carba hakuna ubishi, Numbisa amesema mwenyewe, Pyaar na machozi alimwaga. Simsemi mama yao ISIS ignore list naiogopa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na huyo nae!!Na wewe ni kimbaumbau? Uzi huu una nini? Mbona wote chapa skrinishoti? What is going on? Hamshibi au ndio umodo? Tatizo ni nini? Tuwasaidiaje? Tuchange hela za chakula ama? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaaaa wapi. Angesema ingekuwa hivyo. Sasa unanifanya nijisikie vibaya....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ee mayb alidhan kakukwaza
Achana nae mshamba anataka kutembelea nyota [emoji23]Kidogo tu
Habari za usiku wanaLikes