Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

445306753_343431.jpg
 
Tatizo pc niliwah itumia mwanzo shwaaaaiiin jamaa mmoja hivi siku hizi haonekan alinidanganya eti niingie kwa pc nifunge settings flan maana email yangu bado inaonekana na vitisho tele na nilivyokua muoga nilitetemekaje nikaingia bana kuangalia huku kule hamna kitu,mjanja mmoja akaniambia hio ni mbinu za wenyeji kutisha wagen ili waione JF pachungu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usiye julikana ukaogopa kujulikana.
Kuna siku nilikuwa napita Morogoro,mara paap wa buku tano hao hapo na kitochi chao. Akili ikanijia niingie Jf, mtu wangu namuona anamuaga likes za kutosha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikamshtua nimemulikwa hapa twende Pm... Mungu alivyo jeuri ni mwezi wa pili sijamuona kwenye uzi wetu.
Usiye julikana nawe ni binadamu kama mimi, tusaidiane tu. Mengine hukoooo...Ova and out...
 
Back
Top Bottom