Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Karibu Tanzania, Taifa la watu wapole kama alivyo Twiga, kuna mlima mrefu Kilimanjaro, kuna mbuga nzuri ya Ngorongoro, Serengeti nk. Kuna visiwa vizuri vya Zanzibar. Kuna magofu ya Kaole Bagamoyo, Kuna mapango ya Amboni, kuna magema ya Olduvai, ambako inasadikiwa binadamu wa mwanzo aliishi hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…