Mitandao ya jamii ni nguzo muhimu ya kutangaza biashara siku hizi. Kwa mjasiriamali mwenye bidhaa mbalimbali unazotengeneza ni vyema ukajiunga katika mitandao ya kijamii ili kutangaza bidhaa zako kama njia ya kutafuta wateja wapya na kufahamika zaidi.
KOCHA wa zamani wa Manchester United, Sir Alex Ferguson ‘Fergie’ alilazimika kufanyiwa upasuaji wa kichwa wa dharula Ijumaa iliyopita baada ya kubainika kuwa na tatizo la kuvuja kwa damu katika ubongo.
Tatizo lililompata Fergie kitabibu hujulikana kama Brain Hemorrhages, husababishwa na kupasuka kwa mishipa ya damu katika ubongo na kuvujisha damu au kugandisha damu katika tishu za ubongo.
Tatizo lililompata Fergie kitabibu hujulikana kama Brain Hemorrhages, husababishwa na kupasuka kwa mishipa ya damu katika ubongo na kuvujisha damu au kugandisha damu katika tishu za ubongo.