Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Damu iliyovuja hujikusanya na kutungeneza donge la damu linaloganda lijulikanalo kitabibu kama Hematoma. Hii ikitokea husababisha kuongezeka kwa shinikizo kubwa katika tishu jirani na ubongo.
Hali hiyo husababisha kuzuia damu kwenda katika tishu za ubongo na hivyo kusababisha tishu za ubongo kufa, hivyo kusababisha kupooza kwa viungo vya mwili (kiharusi) au kifo cha ghafla.
Hali hiyo husababisha kuzuia damu kwenda katika tishu za ubongo na hivyo kusababisha tishu za ubongo kufa, hivyo kusababisha kupooza kwa viungo vya mwili (kiharusi) au kifo cha ghafla.