Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uchunguzi maalumu wa kina wa kimwili hufanyika katika mfumo wa fahamu kuona kama kuna viungo vilivyoathirika ikiwamo macho.

Matibabu ya upasuaji yatafanyika kutegemeana na mahali palipo vujiwa na damu katika ubongo, chanzo kilichosababisha na ukubwa wa damu iliyovuja.

Upasuaji wa kuondoa damu iliyovuja husaidia kuzuia uvimbe usitokee au kuendelea na kuzuia damu isivuje.
 
Madhara yanayoweza kujitokeza kutokana na damu kuvuja katika ubongo ni pamoja na kiharusi na ubongo kupoteza uwezo wake. Madhara haya yanaweza kuchangiwa na matibabu ya tatizo hilo.

Je, kuvuja damu kunazuilika?

Tatizo la kuvuja damu katika ubongo linasababishwa na vihatarishi vinavyotambulika, hivyo ni rahisi kupunguza hatari ya tatizo hili kwa hatua mbalimbali ikiwamo kudhibiti shinikizo la juu la damu.
 
Tafiti zinaonyesha watu asilimia 80% ya wanaovuja damu katika ubongo wana historia ya kuwa na BP ya kupanda. Ili kudhibiti tatizo hili hakuna budi kudhibiti kwa chakula, mazoezi na dawa.

Epuka matumizi ya tumbaku na dawa za kulevya ikiwamo matumizi ya cocaine ambayo yanaongeza hatari ya damu kuvuja katika ubongo.
 
Wale wenye matatizo ya hitilafu ya mishipa ya damu upasuaji ndiyo unaweza kusahihisha tatizo hilo.

Unapoona dalili nilizoeleza haraka fika mapema katika huduma za afya kwa ajili ya uchunguzi, matibabu na ushauri.
 
Back
Top Bottom