[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwema??Tulisema
Mwanaume ni kuvaa nguo kwanza then anajipaka mafuta zile parts zinaonekana. Kama we ni mwanaume na huwa unajipaka mafuta kila mahali kabla ya kuvaa nguo...kemea hiyo pepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo ndio mimi huita umama kilo 399[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji23]Aty Wahaya hufikiria aty safe sex ni kufunga mlango
Huku kumekucha. Mvua kubwa na baridi kali. Hali ya hewa ya kumumunya mumunya (kama anavyosemaga jirani). Huko kwema?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwema??
Tumshukuru Mungu.Huku kumekucha. Mvua kubwa na baridi kali. Hali ya hewa ya kumumunya mumunya (kama anavyosemaga jirani). Huko kwema?
Mkuu huyu jamaa anaona Kiev ni karibu sana na rahisi kuchukua Kombe. Amesahau kama kuna huyu jamaa ambaye hakabikiNgoja uchukue ndoo ndio utambe sasa mana hiyo Kiev unavyoiongelea utasema unaenda tu kulinunua dukani