Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hahah!! Utamuweza huyu mnazi sanaMkuu huyu jamaa anaona Kiev ni karibu sana na rahisi kuchukua Kombe. Amesahau kama kuna huyu jamaa ambaye hakabikiView attachment 775003View attachment 775006View attachment 775008
Hood kabisa dah!Majumba sita
Hakuna hiyo mkuuMtaani kwetu hiyo
Mpenzi!!!? Thubutu, labda wa kike[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Poleni na mpunguze maasi ili mpate neema ya mvua[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Huku jua kali mno
Bwa mdogo habari yakoMorning
Uniq= babeS.Leo ngoja nimlete Babe S
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]Niko poa sijui wewe?
Kwema mkuuSalaam mkuu,
Kwema?
Ugali wa usiku, kwa Lugha ya huku nilipo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Dushe sijui ndio nini?