BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Faragha ingependeza Mkuu, mrembo anajiremba njemba iko busy Kha!! Mambo gani haya Mkuu!!!!
Hahaha!
Hahaha!
Umetisha sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama messi
Hahaha! Mbona kama huyo demu hajali kabisa na njemba ndo iko mbali kimawazo hatari.Faragha ingependeza Mkuu, mrembo anajiremba njemba iko busy Kha!! Mambo gani haya Mkuu!!!!
Yea yee, kwema lakin?Probably hakuna tatizo,
Najaribu kuieleweka post tu.
Hahaha noma nomaUmetisha sana [emoji23]
Very trueNaam Mkuu vitu ORIGINAL huwa na life span kubwa ila vile ambavyo ni FAKE havikawii kuchuja.
Njemba alikuwa mbabe wa nguvu. Sasa hivi kule Ujerumani ameanza kutukuzwa tena na idadi ya wanaomtukuza inazidi kuongezeka. Hata katika baadhi ya nchi za dunia ya kwanza wengi wameanzxa kumtukuza.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] 24hrs, watu hawataki mchezolikes zinamwagwa kama mvua, weka likes pata likes.
Bwahahahahahaha, waya wayaaaaa!Najua chuo alikuwa Dar (jina kapuni) halafu akapiga zake majuu kalowea huko. Dar alikuwa kaajiriwa na kampuni moja ya Wahindi.
Bwahahahahahaha, waya wayaaaaa!
Aisee tutafutane mkuu...
Bro usfanye hvo basBraza jioni njema..
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Yupo mkuu vijana wanamtumia kama hivyo ili nao waje kuhadisia kua walifanya kazi na mtaalamu