Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Moja kati ya album bora kabisa na uzinduzi wake ulikuaga hatari ya jiji haijawahi kutokea mkuu...Niliwahi kununua album yake ya Ugali miaka mingi nyuma.....
Moja kati ya album bora kabisa na uzinduzi wake ulikuaga hatari ya jiji haijawahi kutokea mkuu...Niliwahi kununua album yake ya Ugali miaka mingi nyuma.....
Duuu, mkuu!!!!Naona kama unanuka papa bado [emoji445]
HahahahaPlay your part braza wanawake hawaeleweki
Hii ni moja ya Legendary Pictures of the 20th Century (Its official)Dah! Nilikuwa sijawahi kuiona hii picha wala kujua kama Hitler aliwahi kuchukua picha hapo. Thanks for sharing Mkuu.
Hahahahahaha, BAK ni mwenyewe bwana!
Hebu tutafutane tufanye uhakiki......
Asante Chief, Salute!lol! Bastola umeziona Mkuu? Heshima yako Mkuu
Probably hakuna tatizo,Hahah
Ni yako mkuu, kuna tatizo?
Mkuu...Duuu, mkuu!!!!
Hii ni moja ya Legendary Pictures of the 20th Century (Its official)
Hapo alikuwa ametoka kuitwaa Ufaransa baada ya kipigo cha mwezi moja na siku kumi.
Akaweka na Gavana wake kabisa kwamba hilo ni jimbo halali la Mjerumani.....teh teh teh!
Braza jioni njema..Hahahaha
Nakuona mwenyewe unachowafanyia
[emoji23]
Hahaha!Mhhhhh! 😡😡😡
![]()
Mkuu naona unapiga miguu yote miwili maana nimekuona mbali sana..Probably hakuna tatizo,
Najaribu kuieleweka post tu.
Asante Chief, Salute!
Nmeziona aisee, ni vitu havichuji mkuu.
Mkuu naona unapiga miguu yote miwili maana nimekuona mbali sana..