Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Jambo
Ujue wanaume kiuhalisia ni wastaarabu sana kuliko kinadada!
Kama aliingia Michael Jackson itakuwa huyu.....Hivi atakuja kuingia ndani ya Jeneza kweli huyu.?
Nakusalimia na wewe pia ndugu yangu!
Noma saaana!Moja kati ya album bora kabisa na uzinduzi wake ulikuaga hatari ya jiji haijawahi kutokea mkuu...